Ni kama mchezo unaondelea au vita, leo lulzSec wametangaza kuishambulia tovuti ya CIA, ya marekani. LulzSec wamesema hivyo kwenye account ya twitter....
Tovuti ya Tanzania (tanzania.go.tz) ni katika miongoni mwa tovuti zilizokosa mvuto Tanzania. Tovuti imekosa uiano wa rangi katika kurasa zake. Vile vile...
Samsung 5 series ndio wa kwanza kuzalisha 'Chromebooks'. Ni Laptops (bado tunatafuta tafsir yake,btty), ambazo zinatumia cloud-based Operating system. Laptops hizo zitakuwa zinatumia sekunde chache kuboot,...
Kikundi cha mahacker wanaojiita LulzSecurity kimehack tovuti ya ngono na kuziachia email za watumiaji wake mtandaoni. Hio imepelekea watu kujaribu email...
Baada ya matukio kusini mwa Afrika na Mashiriki ya kati, upatikanaji wa internet ni moja mwa haki za binaadamu kwa sasa. Internet imekuwa ni moja mwa...
Kwa mujibu wa Reuters kundi la mahcker zimeingilia Citigroup servers na kuiba data za wateja zaidai ya 200,000. Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la mahacker...
Information sharing in healthcare systems is one among the major issues which needs to be given a reasonable attention. To overcome the problem in many...
Kama ni mtumiaji wa Fedora basi ujue ya kwamba Fedora 15 imeshatoka, na inapatikana katikwa website ya fedora. Fedora 15 imedhatiti katika swala zima...
Katika kipindi cha hivi karibuni kumekuwa na mchezo ama vita kati ya Sony na mahacker. Kundi la mahacker wanojiita LulzSec wamehack Sony na kuchukua karibia...
Kama umefuatilia darasa la HTML, jua kwamba HTML5 imetoka. Inakuwa na 'tags' mpya pamoja na uwezo mpya. Kuwa na video tag, pamoja na audio tag. Vile vile...
New CSS video tutorials are going to be posted soon on tungule blog. CSS, web pages stylings is the next topic. These tutorials are going to be in Kiswahili as usual. tungule targets the Tanzania people...
Leo jifunze kutengeza tovuti nzima kwa kuunganisha kurasa za HTML. Ndani ya somo la leo utajifunza kuhifadhi (kusave) HTML document. Na vile vile jinsi ya kuziunganisha pamoja, yaani LINKS......
Kumbuka...
Whether the founders are getting to ambitious, but they are promising the next big thing to Tanzanians. The intention is clear, simplifying everything...
With improved tab design, apps-tab firefox 4 has a very appealing user interface (Digital Trends). Though, it is not faster than Opera 11, but Mozilla...
‘Gongo’ ni aina ya pombe ambayo imepigwa marufuku nchini Tanzania. Kwa hakika, kuna madhara mengi yaliowahi tokea ambayo yamesababishwa na pombe hio....
Tungule inapenda kuwapa pole wahanga wote mabomu ya Gongo la Mboto. Nyakati kama hizi ni ngumu, hivyo tumuombe Mwenyezi Mungu atupe subira na uvumilivu. Mungu awaafu waliojeruhiwa wote, na awape moyo...
Tatizo la umeme ni kikwazo kwa watanzania hasa wanaotaka kubadilisha hali ya Teknolojia nchini. Nashindwa kuelewa, ni asilimia ngapi ya watanzania wanaishi...
Hii ni wavuti rasmi ya Wizara:http://www.mst.go.tz/[caption id="attachment_83" align="alignnone" width="300" caption="Mh. Prof. Makame Mbarawa (Waziri...
A planning phase of the new tungule website has commenced. The new website is intended to contain all important computer applications; from educational to financial applications in order to...
What do you think when you choose what to study?Most people think and assume that the same industries we have today are going to exist 5 or 10 years later. But are you sure?Did you know that ten most...
As Tanzanians, are we ready for the future? The future which offers nothing more than uncertainties. The following video will help us see, how we can at least prepare for the future. ...