Kama umefuatilia darasa la HTML, jua kwamba HTML5 imetoka. Inakuwa na 'tags' mpya pamoja na uwezo mpya. Kuwa na video tag, pamoja na audio tag. Vile vile...
New CSS video tutorials are going to be posted soon on tungule blog. CSS, web pages stylings is the next topic. These tutorials are going to be in Kiswahili as usual. tungule targets the Tanzania people...
Leo jifunze kutengeza tovuti nzima kwa kuunganisha kurasa za HTML. Ndani ya somo la leo utajifunza kuhifadhi (kusave) HTML document. Na vile vile jinsi ya kuziunganisha pamoja, yaani LINKS......
Kumbuka...