Ni kama mchezo unaondelea au vita, leo lulzSec wametangaza kuishambulia tovuti ya CIA, ya marekani. LulzSec wamesema hivyo kwenye account ya twitter....
Tovuti ya Tanzania (tanzania.go.tz) ni katika miongoni mwa tovuti zilizokosa mvuto Tanzania. Tovuti imekosa uiano wa rangi katika kurasa zake. Vile vile...
Samsung 5 series ndio wa kwanza kuzalisha 'Chromebooks'. Ni Laptops (bado tunatafuta tafsir yake,btty), ambazo zinatumia cloud-based Operating system. Laptops hizo zitakuwa zinatumia sekunde chache kuboot,...
Kikundi cha mahacker wanaojiita LulzSecurity kimehack tovuti ya ngono na kuziachia email za watumiaji wake mtandaoni. Hio imepelekea watu kujaribu email...
Baada ya matukio kusini mwa Afrika na Mashiriki ya kati, upatikanaji wa internet ni moja mwa haki za binaadamu kwa sasa. Internet imekuwa ni moja mwa...
Kwa mujibu wa Reuters kundi la mahcker zimeingilia Citigroup servers na kuiba data za wateja zaidai ya 200,000. Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la mahacker...
Information sharing in healthcare systems is one among the major issues which needs to be given a reasonable attention. To overcome the problem in many...
Kama ni mtumiaji wa Fedora basi ujue ya kwamba Fedora 15 imeshatoka, na inapatikana katikwa website ya fedora. Fedora 15 imedhatiti katika swala zima...
Katika kipindi cha hivi karibuni kumekuwa na mchezo ama vita kati ya Sony na mahacker. Kundi la mahacker wanojiita LulzSec wamehack Sony na kuchukua karibia...