Suluhisho hili hapa..
[vimeo http://vimeo.com/12782147]
Tell me this is not true!
[vimeo http://vimeo.com/12771304]
I like this! It is all about commitment
Kauli ya tungule: Ni msiba umetufika sote
Inasikitisha, inauma lakini ni wakati wakuungana pamoja kuwasaidia wahanga. Tuwachangieni kwa hali na mali.
Mungu Ibariki Tanzania, tubariki watoto wa Tanzania. Aamin!
Teknolojia mpya ni ngumu bila umeme!
Kwa kuongezea, ni kama uaji wa wafanya biashara ndogo ndogo. Sasa ndio wakati wa kulivalia njuga swala la umeme ili kukuza teknolojia na kukuza uekezaji. Wangapi wamekatisshwa tamaa kuwasilisha mawazo yao kisa sababu ya upatikanaji mdogo wa umeme. Pia, kazi ngapi zimeharibika baada ukatikaji wa ghafla wa umeme? Cha kushangaza nchi yetu inasifika kwa kuwa ya kijani, na huku hali ya nchi inalazimisha utumiaji wa majenereta yaanaochafua mazingira! Binafsi, sijwahi sikia nchi inaendelea kwa mgao wa umeme!
Kwa kumalizia, ni wazi kwamba uzalishaji wa umeme ni ishara tosha inayoashiria jinsi gani nchi ipo makini katika kuhakikisha swala zima la maendeleo. Maendeleo bila umeme unaokidhi mahitaji na unaopatikana saa zote ni ngumu. Wanasiasa wanajukumu, na jukumu lao kuhakisha wanasayansi wanaisaidia nchi yao na huu ndio wakati. Tunahitaji uzalishaji wa umeme na mgao sasa iwe basi.
[caption id="attachment_113" align="aligncenter" width="540" caption="Mh. William Mganga Ngeleja - World Economic Forum on Africa 2010"][/caption]
New website for tungule is under construction!
How can you adapt to changes?
Thinking of changes and how tricky they could be sometimes, personally, I admire how the famous Bi Kidude copes with the changes and how prepared she was for the future. She has been singing ever since, and still, till today you would single her out as one of the best. I have a fair knowledge about her history, but seeing her now, using a newly upgraded microphone is amazing, isn't it?
Now, how well can we all adapt with changes, I am not sure, put me, you to the test. Hence, it is something we should consider in what we do for living. How many employees have been laid off by their companies just because they could not handle the technological changes? Personally, I think, this Madam below, is a good lesson to learn from.
Jifunze HTML kwa wepesi part 1
Ahsante
Wavuti ya Wizara ya teknolojia
http://www.mst.go.tz/
[caption id="attachment_83" align="alignnone" width="300" caption="Mh. Prof. Makame Mbarawa (Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia)"][/caption]
Follow us on twitter
@tungule
Unaweza tufuatilia twitter:
@tungule
New Website plan for tungule
Future jobs: You and Your future
Most people think and assume that the same industries we have today are going to exist 5 or 10 years later. But are you sure?
Did you know that ten most demanded jobs were not there 10 years ago?
Now, do you know what are going to be the 10 most hot careers 5 years later?
Now pause for a while, and think about the future. Because the decision you make now, affects your future!
How to a create simple PHP shopping cart :-)
Part 1:
Part 2:
Part 3:
Part 4:
Part 5:
Part 6: