READ MORE » Steve Jobs akiizindua iCloud
Showing posts with label Creativity and Innovation. Show all posts
Showing posts with label Creativity and Innovation. Show all posts
Unalipi la Kusema: Facebook face recognition!
Facebook sasa imeeka teknolojia ya kutambua sura za watumiaji katika picha. Hii itarahisisha kazi ya 'tag' watu katika picha na pia itaimarisha facebook katika swala zima la 'kushare' picha. Facebook ni mtandao unaongoza katika upande wa 'kushare' picha na hivi karibuni imepata hati ya kumiliki 'tagging system' inaotumika katika kushare picha.
Hata hivyo, baado kuna maswali ya kujiuliza kama swala zima la 'privacy'. Jee teknolojia hii itakuwa na athari gani kwa watumiaji, na vipi itapokelewa. Lakini swali la kujiuliza, maoni yako wewe binafsi, unalichukuliaje swala zima la teknolojia hio.
"What about privacy, Sir?", we ask.
You do not store your data on your computer. That means you dont own your own data, 'mmmhh'.. Something to think about.
READ MORE » "What about privacy, Sir?", we ask.
Time travel: Fantasy?
Check out some videos on time travel theories.
READ MORE » Time travel: Fantasy?
Do you remember Minority report?
M.I.T lab, on the minority report-look interface. We all agree that Tom Cruise looked cool doing it. Watch this video, it is even cooler:
READ MORE » Do you remember Minority report?
Suluhisho hili hapa..
Ukiangalia video iliopita, nimeona suluhisho hapa!
[vimeo http://vimeo.com/12782147]
READ MORE » Suluhisho hili hapa..
[vimeo http://vimeo.com/12782147]
Subscribe to:
Posts (Atom)