Citibank hacked!

Kwa mujibu wa Reuters kundi la mahcker zimeingilia Citigroup servers na kuiba data za wateja zaidai ya 200,000. Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la mahacker kuvamia system za watu na kuiba data. Hata hivyo haijulikani kama hawa waliohack Citibank ndo wale waliohack Sony, ambao wanajiita LulzSec.

0 comments:

Post a Comment

 
© 2010 tungule | Blog Theme