Sony Hacked again!.. and again..

Katika kipindi cha hivi karibuni kumekuwa na mchezo ama vita kati ya Sony na mahacker. Kundi la mahacker wanojiita LulzSec wamehack Sony na kuchukua karibia data za watu milioni. Uchakachuaji huo umefanyika kwenye web za Sony, ikiwemo Sony pictures na Sony music wakati kabla ya hapo ulifanyika kwa database ya watumiaji wa PlayStation.

0 comments:

Post a Comment

 
© 2010 tungule | Blog Theme