Kauli ya tungule: Ni msiba umetufika sote

Tungule inapenda kuwapa pole wahanga wote mabomu ya Gongo la Mboto. Nyakati kama hizi ni ngumu, hivyo tumuombe Mwenyezi Mungu atupe subira na uvumilivu. Mungu awaafu waliojeruhiwa wote, na awape moyo wa kusubiri ndugu waliofiwa.

Inasikitisha, inauma lakini ni wakati wakuungana pamoja kuwasaidia wahanga. Tuwachangieni kwa hali na mali.

Mungu Ibariki Tanzania, tubariki watoto wa Tanzania. Aamin!

1 comments:

thePotrayal said...

Aaamin..

Post a Comment

 
© 2010 tungule | Blog Theme